Saturday, 19 May 2018

Chelsea vs Manchester United: Fainali ya kombe la FA Leo hii.

SHARELeo kwenye uwanja wa wembley tutashuhudia fainali ya FA kati ya Chelsea na mashetani wekundu "Manchester United",mchezo utakaochezwa kuanzia saa 19:15(saa 1 na robo usiku).
SHARE

Author: verified_user

0 Post a Comment: