Gigy Money Azidi Kumwaga Ubuyu: “Mo J Alitoka na House Girl, Mimi nikawa Natoa Pesa ya Matumizi”

4:45:00 PM

SEHEMU YA KWANZA: Msanii Gigy Money amezungumza kuhusu kile kinachoendelea kwenye mitandao kuhusu yeye na mzazi mwenzake Mo J ambapo kazungumza chanzo cha mgogoro wao mpaka kutengana huku akikiri kuwa alishawahi kumfumania mpenzi wake huyo na isitoshe alikuwa hatoi hela ya matumizi ya kutosha ikabidi yeye awe anatoa hela ya matumizi.

VIDEO:


Related Posts

Previous
Next Post »