Saturday, 12 May 2018

Kocha msaidizi wa Manchester United,Rui Faria kuiacha klabu mwishoni mwa msimu huu.

SHARE

Kocha msaidizi wa Jose Mourinho na Manchester United "Rui Faria" ataiacha klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

Mreno huyo,ambaye amekuwa msaidizi wa Mourinho katika kazi yake ya usimamizi,huenda akachukua matazamio ya kuwa kocha Mkuu kwa mara ya kwanza,yeye kama yeye.
SHARE

Author: verified_user

Chanzo cha Habari,Burudani,Michezo,Uvumi wa watu Mashuhuri. Chunguza mitindo ya kupendeza,picha,sinema na maonyesho ya televisheni!

0 Post a Comment: