Shusho kuachia video ya wimbo wa "MUUJIZA" hivi karibuni.


Msanii wa nyimbo za injili afrika mashariki Christina Shusho,anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya "Muujiza".
Shusho amechapisha kipande cha video katika ukurasa wake wa Instagram wakiwa location.
Tazama video hapa chini.

No comments